Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anafahamisha kwamba kampuni hiyo ilifika hatuwa ya kuitwa kampuni baada ya hatua zilizochukuliwa za kutoa elimu kwa wafanyakazi wote ili kuepukana kutumia wafundi wa nje ya kampuni.

Mkurugenzi mkuu wa BMBC anasema kwamba tangu 2018 walichukuwa hatua ya kufundisha wafanyakazi kwa malengo ya kutotumikisha wa nje ya kampuni.

Mkurugenzi wa BMBC alisema:“ Mwaka 2018,tuligundua kuwa hatuwezi kuwa kampuni bila kuwa na wafundi wetu wenye uwezo,ndo tulichukuwa hatua ya kuanza kuelimisha wafanyakazi wetu.”

Mkurugenzi huwo wa BMBC anaongeza kuwa kwa sasa mfanyakazi asiye jua kujenga hawezi kukubaliwa kufanyia kazi kwenye makao ya kampuni hiyo.

Umuyobozi mukuru wa BMBC avuga ko ubu bafise abafundi benshi, abakora amatara,abakora amazi bafise uburambe kandi ko ubu ata bahinga igikura hanze.

Mkurugenzi mkuu wa BMBC alisema kuwa kwa sasa kampuni ya BMBC hayitumikishi wafundi wa nje ya kampuni sababu ina wafundi wengi wakutosha,wanaohusika na kuweka maji ndani na wakuweka mataa ndani ya nyumba.

About the author

Leave a Reply