Kampuni ya BMBC inafahamisha kuwa kusoma vikipewa kipa umbele vitu mbali mbali vitaweza kutengenezwa nchini bila kusahau witu tunavyovinunua nje ya nchi.
Mkurugenzi mkuu wa BMBC alisema kuwa tangu mwaka wa 2018 walianzisha mpango wa kutoa elimu kwa wafanyakazi wao binafsi sababu walikuwa walishafahamu kuwa kupata wafanyakazi wanaoweza siyo rahisi.



Mkurugenzi wa BMBC alisema: “Kama mkurugenzi mkuu wa BMBC nilianzisha shule ili tutoe elimu kwa wafanyakazo wa kampuni yetu tukianzia kwa wafundi bila kusahau wafanyakazi wa ofisi kuu ya kampuni.”
Tuwakumbushe kwamba kwa sasa wanafunzi wa kwanza waliofundishwa ndo wanaofundisha wengine na ndo walipêwa majukumu makubwa kwenye ofisi ya BMBC.