Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Wanaohitaji kununua nyumba nzuri za kisasa za kampuni ya BMBC kwa mradi wake BMBCHOMESBUJUMBURA-GAHAHE2021 zinaendelea kuuza,watu wenye nia ya kununua nyumba hizo anaalikwa kushirikiana na BMBC ili afahamishwe utaratibu.

Kampuni hiyo inasema kwamba nyumba zinazobaki zinaendelea kuuzwa kwa yeyote anayehitaji kununua.

Tuwafahamishe kwamba nyumba hizo za kifahari ni zenye bei nafuu na zimejengwa kwa utalama wa kisasa.

Wateja ambao hawawezi kulipa malipo yote mara moja wanaweza kuzilipia kwa miaka kumi baada ya kutoa asilimia 20 ya malipo yote.

Mnaalikwa wote kufika mapema ili mununue nyumba za BMBCHOMES kabla hazijaisha Ukitaka kuwasiliana nasi piga simu kupitia whatsaap +257 79 500 227.

About the author

Leave a Reply