Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Kampuni ya BMBC inafahamisha kwamba watu wanaotaka kurudilia nyumba zao ambazo zilijengwa vibaya na wengine huwagharimu uwezo unaopita kiasi ule walioutimia awali.

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anasema kwamba kampuni ya BMBC inahudumia wateja wake kwa bei ya chini na wote wanaopita katika kampuni hiyo hawasiti ili iwajaengeye na inajengea wale waliojengewa vibaya.

Katika mahojiano na kitengo cha habari cha BMBC,mkurugenzi huwo alisema kwamba kazi ya kurudilia majengo yaliojengwa vibaya huomba hela nyingi kuliko zile zilizotumia mara ya kwanza kwa ujenzi.

Mkurugenzi huwo anaomba wenye nia ya kushirikiana na kampuni hiyo kujiandaa ili iwafanyiye mahesabu mazuri sawa sawa na habari waliotoa.

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anatoa wito kwa watu kuandaa vema miradi yao na kufanyisha mahesabu ipasavyo ili aweze kujua gharama ya ukweli ya mradi wake.

About the author

Leave a Reply