Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

BMBC inasema anayehitaji kuona kazi zao anakalibishwa.

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anasema kwamba  wanaohitaji kuona majengo yaliyojengwa na kampuni hiyo mbele ya kutoa kazi kwao ni vizuri.Lakini nyumba zilizojengwa sio zile zinazothibitisha taaluma yetu, kwa sababu tunajenga kulingana na uwezo wa kifedha wa kila mteja,na vigezo vingine vingi vinavyohusiana kama utakavyoona katika aya zingine.

Katika mahojiano aliyo yatoa kwa  kitengo cha mawasiliano cha BMBC alisema kwamba anayehitaji kuona walivyovifanya anaonyeshwa vyote na nyumba zilizokamika wanazionyeshwa.

Mkurugenzi huo alisema: «Wanawoomba hivyo wanapokelewa ila shida ni kwamba hata nyumba zenye mwonekano sawa wa nje, gharama zake zitatofautiana, kulingana na jinsi zilivyojengwa.Pia kwa kupita muda bei za vifaa vya ujenzi hubadilika.

Katika mahojiano hao alisema kwamba  mteja analalamika na wakati anakuwa aliambiwa kuwa atajengewa nyumba inaolingana na uwezo wake.

Mkurugenzi huo alisema kuwa ni vizuri mteja akisema uwezo ambao anao ili ajengewe nyumba inayolingana na uwezo wake.

Mkurugenzi wa BMBC anatoa wito kwa watu wanaotaka kujenga,wajenge nyumba zinazolingana na uwezo wao ili kampuni imusaidie kuvikamilisha.

About the author

Leave a Reply