Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

BMBC inaomba wanaojenga kushirikisha wataalamu wa ujenzi.

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anatoa wito kwa wanaofuatilia karibu kampuni hiyo kutofanya miradi ya ujenzi bila kushirikisha wataalamu wa ujenzi.

Mkurugenzi wa BMBC alisema kwamba kuna watu wanaokwepa shirika hilo baada ya kujua wanavyovihitaji ili wajenge kisha na kutafuta wengine ambao hawana ujuzi.

Mkurugenzi huo alisema :«Wanatukwepa na kwenda kutafuta wengine wasiyoweza hata kuonyesha mahesabu tulioyafanya sisi.»

Aliongeza kuwa wanaotaka kushirikiana nao baada ya kupata habari yote ya mahitaji yao wanaenda kutafuta wafundi ambao hawatawasaidia chochote.

Huwo mkurugenzi anasema kwamba kuna wasiotoa kazi kwa kampuni kwa kuwa wameiona kwenye mitandao ya kijamii na wengine wanaoogopa bei walioambiwa.

Mkurugenzi wa BMBC anasema kuwa kampuni yake imefanya kazi tangu zamani na kila muda ina majengo mengi ya kujenga na wafundi mahiri wanao.

Mkurugenzi huo anatoa wito kwa watu waamini shirika hilo ili liwahudumie kutokana na mahitaji yao.

About the author

Leave a Reply