Kampuni ya BMBC imeanzisha mradi mpya unawohusu kujenga nyumba ya mtu kwa deni katika uwanja wake wenye kuwa na karatasi halali za uwanja huwo.
Katika kampuni hiyo wanasema kwamba yeyote mwenye uwanja wake na karatasi halali zinazo onyesha kwamba uwanja ni wake anaweza kushirikiana na BMBC ili imujengeye nyumba kwa deni.

Mradi huo unaomba mmiliki wa uwanja kufahamisha kipato chake ili kampuni imupe mkopo unawolingana na uwezo wake.
Kampuni ya BMBC inakaribisha watu wote wenye uwanja wenye kuwa na karatasi zake kushirikiana na kampuni ili iwajengeye kwa deni.