Kampuni ya BMBC inasema kwamba baada ya kugundua kuwa BMBC ni kampuni yenye ujuzi viwanda,mashirika na kampuni kubwa za nchini vinatoa kazi kwa kampuni hiyo ili itimize miradi yao ya ujenzi.
Katika kampuni hiyo wanasema kwamba viwanda,kampuni na mashirika mbali mbali nchini amesha furahishwa na utendaji kazi kwa kampuni hiyo sababu inatimiza ipasavyo miradi ya wateja wake.



Moja katika mashirika ao viwanda ambavyo kampuni ya BMBC imesha timizia mradi ni kiwanda cha kutengeza vinywaji cha serekali Brarudi tawi la mkoani Kayanza.