Kampuni ya BMBC ilianza kuuza nyumba za kisasa kupitia mradi wake wa BMBCHOMES,nyumba zitalipwa kwa kipindi cha miaka kumi.
Baada ya kukusanya data zote muhimu ili mahitaji ya wateja yakamilike,BMBC imeanza rasmi kuuza nyumba hizo za kisasa zilizojengwa kwa kifahari.
Nyumba hizo za kifahari ni zenye bei nafuu ukilinganisha na utalama uliotumiwa kwa kuzijenga.
Wateja ambao hawawezi kulipa malipo yote mara moja wanaweza kuzilipia kwa miaka kumi baada ya kutoa asilimia 20 ya malipo yote.
Mnaalikwa wote kufika mapema ili mununue nyumba za BMBCHOMES kabla hazijaisha
Ukitaka kuwasiliana nasi piga simu kupitia whatsaap +257 79 500 227