Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Benki ndogo maarufu cooperative yakaribia kuanzishwa na BMBC.

Kampuni ya BMBC inafahamisha kuwa katika mipango ijao moja ambao ni kipa umbele ni kuanzisha benki ndogo itakayoshirikisha wafanyakazi wote ili waweze kujiendelesha.

Mkurugenzi wa kampuni ya BMBC alisema kwamba wako wanaandaa jinsi watatoa mchango ili wafanyakazi wao waweze kujiendelesha kupitia benki hiyo ndogo ya ushiriki.

Msimamizi huwo wa BMBC alisema kwamba mipango na miradi kama kupokea,kutoa elimu kwa wanafunzi wapya wa ufundi itaendelea na kuhamasisha wanawake ili wajiunge na mafunzo ya kujenga.

Katika kampuni hiyo wanaendelea kusema kwamba wataendelea kutoa elimu  kwa wanafunzi wowote watakaopenda kujiunga na shule ya BMBC ya ufundi.

About the author

Leave a Reply