Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Kampuni ya BMBC inafahamisha kwamba baada ya miaka kumi tangu ianzishe kazi zake rasmi,kwa sasa imejipanga vizuri sababu ilipata maendeleo ya kutosha na wateja wengi wanayichagua ili iwafanyiye miradi yao ya ujenzi.

Kampuni hiyo inasema kuwa ilipata maendeleo ^pole pole na ilianza kazi ikiwa na ofisi ndogo sana bila mashini ila kwas asa wana vifaa vyote vya kisasa vinavyohitajika katika ujenzi.

Kampuni ya BMBC ina kundi viwili ,la kwanza linahusisha wafanyakazi wa ofisini  pamoja nawengine wanaofanyanyia kazi sehemu nyumba zinapojengewa.

Katika makao makuu ya kampuni hiyo,wanasema kwamba wateja wengi waliowapa kazi ndo walichangia kikubwa kuendela kwa kampuni hiyo.

About the author

Leave a Reply