Kampuni ya BMBC inatoa wito kwa watu wenye miradi ya kujenga nyumba kushirikiana na waliosomea ujenzi ili miradi yao ifanywe ipasavyo bila pingamizi zozote badala ya kutoa kazi hiyo kwa watu wowote ambao hawajasomea mambo ya ujenzi. Katika mahojiano mkurugenzi wa kampuni ya BMBC alisema kwamba nyumba wanazozipewa zilizojengwa na wengine ili wazirudiliye ao wazimaliziye...Continue Reading