Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Tunza nyumba yako vile unavyotunza gari yako.

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anasema kwamba nyumba inapoisha kujengwa ni vema itunzwe kama vile gari inavyotunzwa.

Mkurugenzi huwo anasema kwamba kuna watu wakikabizwi nyumba baada ya ujenzi wanaona kwamba vyote vimeisha.hakutakuwa vingine.

Mkurugenzi huo alisema : «Nyumba inatunzwa kama vile unavyotunza gari.»

Aliongeza kuwa wafundi wanajua umuhimu wa kujenga nyumba vizuri ili iweze kudumu miaka mingi,mtu anayeyikabiziwa anapaswa kuyitunza vema ipasavyo.

Huwo mkurugenzi anasema kwamba mtu anahitaji kujipa muda ambao atakuwa anakarabati vitu vyote vyilivyoharibika kwenye nyumba yake.

Mkurugenzi huwo alitoa wito kwa wote wanaotaka kujenga kuchunguza nyumba yano kila muda ili iwe inakarabatiwa.

About the author

Leave a Reply