Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Kampuni ya BMBC inatoa wito kwa watu wenye miradi ya kujenga nyumba kushirikiana na waliosomea ujenzi ili miradi yao ifanywe ipasavyo  bila pingamizi zozote badala ya kutoa kazi hiyo kwa watu wowote ambao hawajasomea mambo ya ujenzi.

Katika mahojiano mkurugenzi wa kampuni ya BMBC alisema kwamba nyumba wanazozipewa zilizojengwa na wengine ili wazirudiliye ao wazimaliziye zinakuwa zimepewa watu ambao siyo wafundi wa kujenga na hivo kuziacha bila kuzimaliza.

Mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo alieleza kuwa nyumba ambayo imeharibiwa sana kampuni yao hayiwezi kuyijenga ila yile ambao hayijaharibiwa sana wanaweza kuyijenga bila ili waepukane na makosa ya kupita kiasi yanayoonekana katika nyumba moja moja ili makosa hao yasiwaangukiye.

Kampuni ya BMBC inasema kwamba wanaoacha kazi waliopewa wanakuwa siyo wafundi wa ujenzi na mara nyingi unakuta ni watu wenye kazi nyingi wanazozifanya na hivyo husababisha kuacha nyumba walizozipewa na kwenda kufanya kazi zingine.

Mkurugenzi wa kampuni hiyo aliongeza kuwa watu wengi wenye miradi ya ujenzi hawakubali ushauri wanaopewa na watalamu katika ujenzi na hivo wanatoa kazi hizo kwa yeyote wanayefikira bila kuzingatia madhara ya baadaye.

Kampuni ya BMBC inaalika watu wenye miradi ya ujenzi kuaminia kampuni ya BMBC kwa sababu inapokubali kutimiza mradi inawufanya hadi tamati.

About the author

Leave a Reply

AllEscortAllEscort