Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anajulisha kwamba nyumba za mradi wa BMBCHOMES2021 zinauzwa kwa wenye kuwa na hela yote ya nyumba bila kuomba mkopo ao kwa wanaoweza kulipa asilimia 20 na kupanda ya bei ya nyumba hivo atakayobaki  alipwe na benki kwa mkopo.

Katika mahojiano alisema kwamba mwenye kuwa na hela yote ya bei ya nyumba bila mkopo atasaini makubaliano baaada ya kulipa nyumba yake itajengwa kwa kipindi cha miezi sita.

Huwo mkurugenzi alisema kwamba nyumba zinazouzwa ni kuanza zaidi ya milioni 150 mpaka milioni 500 karibia milioni 600 salafu ya Burundi.

Alisema:«Mwenye kuwa na hela zote anaweza kununua bila mkopo wa benki,ili mtu akubaliwe kama mteja anatakiwa kulipa asilimia 20 ya nyumba aliyochaguwa.»

Mkurugenzi wa BMBC alisema kuwa mwenye kuwa na nusu ya bei ya nyumba anaweza kulipa hao na kuomba mkopo ya hela inayokosa,anayeomba mkopo kwa benki naye anatakiwa kulipa asilimia 20,asilimia 80 inayobaki ilipwe kwa mkopo na benki inayoshirikiana na BMBC katika mradi huwo.

 Huwo mkurugenzi alisema kuwa alisema umuhimu wa kununua nyumba ambazo hazizajengwa ,mteja anaweza kutoa hisia zake ili nyumba ijengwe anavyohitaji.

Alisema :« Unaweza kutoa hisia kutokana na mahitaji yako ya nyumba sababu unakuwa umenunua nyumba ambayo hijajengwa.»

Huwo mkurugenzi alifafanua kwamba shirika la BMBC ndo limekuwa la kwanza nchini kuanza mradi kama huwo wa ujenzi wa nyumba zinazofanana kwenye mtaa mmoja.

Mkurugenzi mkuu wa BMBC alimaliza akisema kuwa nyumba hizo hazijanunuliwa zote,hivo anayetaka kujiunga na mrdai huwo anaweza kufika ofisini ili apewe taarifa zote zinazohitaji.

About the author

Leave a Reply