Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Kampuni ya BMBC inasema kwamba wafanyakazi wake hawapati shida katika kazi yao sababu wanapewa elimu ya kutosha inayo wasaidia kufanya kazi vema.

Kwa malengo ya kuwazoesha mahali wanapofanyia kazi,wafanyakazi wote wapya wanapaswa kupata mafunzo kuhusu hatua zote za ujenzi.

Katika mafunzo wanayoyapewa ni pamoja na kuchora,kufunzwa kuhusu kuhesabu hela zinazohitajika katika hatua zote za ujenzi,kufunzwa kuhusu tekinolojiya ya kisasa pamoja na kufunzwa hatua zote za ufundi.

Kampuni hiyo  inatoa wito kwa watu wenye mipango ya kujenga kushirikiana nayo ili iwatimiziye miradi yao.

About the author

Leave a Reply