Kampuni ya BMBC ina wafundi na watalamu wenye ujuzi tofauti kwenye tofauti zinazohitajika katika ujenzi mpaka nyumba iweze kujaa iwe ya kawaida ao gorofa.
Katika kazi zake za kila siku,BMBC haihitaji watalamu kutoka nje ya kampuni sababu ina wafanyakazi wake wanaohitajika katika kila kitu kinachohusu ujenzi wa nyumba mpaka ikamilike.



Kampuni ya BMBC itaendelea kufanya jitihada ili iweze kuhudumiya ipasavyo wateja wake wa kampuni.