Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

«Nilianza nikiwa fundi msaidizi kwa sasa niko fundi mahiri.»Amos Ndayikengurukiye

Mmoja katika wafanyakazi wa kampuni ya BMBC anasema kwamba alijiunga na kampuni hiyo akiwa fundi msaidizi ila sasa ameshakuwa fundi sababu ya elimu aliyopewa.

Ndayikengurukiye Amos anasema alijiunga na BMBC Gitega akiwa fundi msaidizi ila kwa sasa ameshakuwa fundi kama wengine.

Huwo ndayikengurukiye Amos anasema alikuja Bujumbura akiwa fundi msaidizi  baada ya kupewa elimu anajisifu kuona ameshakuwa fundi mzuri.

Mfanyakazi huwo anashukuru kiwango anachokifikia   na alisema kwamba naye alileta wengine ili wafunzwe.

Amos Ndayikengurukiye anamaliza akisema kwamba anayejiunga na kampuni ya BMBC anafunzwa vitu vyote bila kuacha hiki ao kile.

About the author

Leave a Reply