Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Kampuni ya BMBC imesaini makubaliano na kundi la Nkunda abantu kwa malengo ya kuburudisha wafanyakazi wa kampuni hiyo katika sikukuu.

Katika kampuni hiyo wanasema kwamba kundi hilo litaandaa nyimbo za kuchemsha wafanyakazi wa BMBC pamoja na kuwaburudisha.

Alfred NYANDWI anayesimamia kundi la Nkunda abantu anasema kwamba alifurahia makubaliano hayo kwa sababu yatakuwa ya manufaa katika pande zote mbili.

About the author

Leave a Reply