Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anaomba watu hasa vijana kutozalau kazi sababu unaweza kuzalau kazi na wakati kazi hiyo ndo ilikuwa funguo ya maisha yako.
Katika kipindi «Ntahokatarondererwa» cha rediyo BBC idhaa ya Kirundi na Kinyarwanda,mkurugenzi wa BMBC alisema kwamba ili aanzishe kampuni hiyo alijipa moyo sababu alikuwa ana fehda ndogo zisizozidi elfu 50 za sarafu ya Burundi,lakini kampuni ilipata maendeleo.

Mkurugenzi mkuu wa BMBC alisema kuwa kampuni iliendelea ipasavyo hata kama alianza bila uwezo.
Katika kipindi hicho,mkurugenzi wa BMBC anaomba vijana kutozalau kazi ambayo wamepata.