Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anafahamisha kwamba wameanzisha kitengo chateknolojiya ya kisasa « BMBC Technologies » ambacho kitatoa fursa kwa watu kununua bidhaa za kampuni hiyo wakipitia mtandaoni.

Mkurugenzi mkuu huwo anasema kwamba walianzisha kitengo hicho cha « BMBC Technologies » ili iwe rahisi kwa watu kununua wanavyovihitaji bila kutoka sehemu walipo hasa kwa watu waishio nje ya nchi.

Alisema: «Tuliona hatuwezi kuacha nyuma teknolojiya ya kisasa katika kazi zetu,hii ni njia itakayo tuwezesha kuuza vifaa vyetu kwa watu popote walipo duniani. »

Wanaohitaji kununua vitu mbali mbali vya kampuni ya BMBC wataweza kupitia kitengo hicho ili waweze kununua kirahisi bila kutoka sehemu walipo.

About the author

Leave a Reply