Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mkuu wa kitengo cha ufundi wa BMBC anafahamisha kwamba alipoanza katika kampuni hiyo alianza kwa kufanya mazoezi ya ufundi pamoja na mazoezi ya kusimamia kazi katika ujenzi.

Katika mahojiano na kitengo cha kutoa habari cha kampuni ya BMBC,alisema kuwa baada ya kuhitimu masomo alikuwa hawezi kuanza kazi ya kujenga bila kupewa mafunzo hayo.

Mkuu huwo anasema kwamba fani alioyihitimu inahusika na ujenzi wa nyumba na hivo vilichangia sana ili azoeye haraka mazoezi aliokuwa anapewa.

Katika vitu alivyofunzwa ni pamoja na kuandaa kazi,kutumia kompyuta,kuchora pamoja na kuhesabu uwezo wa franga zinazohitajika katika kujenga nyumba.

Huwo mkuu wa kitengo hicho anasema kwamba katika kampuni hiyo wanatoa mafunzo mengi kuhusu vitu mbali mbali ili waweze kutoa mchango kwa vitu vingi.

Mkuu wa kitengo cha ufundi anatoa wito kwa watu kuweza kutoa kazi kwa kampuni hiyo sababu linatoa huduma nzuri.

About the author

Leave a Reply