Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mkurugenzi mkuu wa kampuni wa BMBC anasema kwamba mwezi wa tano ni mwezi maaalamu wa kufundisha wafanyakazi wa kampuni hiyo ili waendelee kuwa na ujuzi katika vitu mbali mbali.

Katika mahojiano mkurugenzi mkuu wa BMBC alifahamisha kuwa ili wafanyakazi wa kampuni hiyo wawe na ujuzi mbali mbali wanapaswa kupewa mafunzo kuhusu ufundi wa kisasa.

Mkurugenzi huwo anasema kwamba kampuni hiyo ni mfano katika kampuni zingine za kujenga nchini na ndo sababu hawawezi kubaki nyuma katika mafunzo mbali mbali.

Alisema : «Tuna shule linalofundisha kama shule zingine ndo sababu mwezi huu umekuwa mwezi wa kutoa elimu katika kampuni ya BMBC.»

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anamaliza kwa kusema kwamba kila siku katika mwezi huwo una mpango maalum unaoendana na masomo yalioandaliwa.

About the author

Leave a Reply