Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Shule ya kampuni ya BMBC inaendelea kuhudumia wanafunzi wa chuo kikuu kwa kuwapa mazoezi mbali mbali kuhusu kujenga hususani kwa wanofuata fani ya ujenzi.

Kampuni ya BMBC inapokea wakati wowote wanafunzi wa vyuo vikuu wanosoma fani ya ujenzi ,kila mara wanapotaka kufanya mazoezi ya kumaliza masomo yao yanayohusiana na fani ya ujenzi .

Siku hizi wasichana wanaanza kujiunga na fani ya ujenzi ukilinganisha na miaka iliopita.

Wanafunzi wa vyuo vikuu waliohitimu chuo cha kampuni ya BMBC wanafurahishwa na mafunzo walioyapata sababu yatawaletea manufaa mengi siku za mbele.

About the author

Leave a Reply