Kampuni ya BMBC inaendelea kuuza nyumba za kisasa zinazobaki katika mradi wake wa BMBCHOMESBUJUMBURA-GAHAHE2021 ulionza mwaka jana.
Kitengo cha kutoa habari cha kampuni ya BMBC kinasema kwamba nyumba zinazobaki zinaendelea kuuzwa,anayehitaji kununua anaalikwa kabla hazijaisha.
Tuwakumbushe kwamba nyumba hizo za kifahari ni zenye bei nafuu ukilinganisha na utalama uliotumiwa kwa kuzijenga.




Wateja ambao hawawezi kulipa malipo yote mara moja wanaweza kuzilipia kwa miaka kumi baada ya kutoa asilimia 20 ya malipo yote.
Mnaalikwa wote kufika mapema ili mununue nyumba za BMBCHOMES kabla hazijaisha Ukitaka kuwasiliana nasi piga simu kupitia whatsaap +257 79 500 227