Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

BMBC inatoa wito kwa wenye mipango ya kujenga kushirikiana na wataalamu wa kujenga.

Mfanyakazi wa kampuni ya BMBC anashauri wateja wenye mipango ya kujenga kuachiya wataalamu wa ujenzi kuwafanyia mahesabu ya mipango yao ya ujenzi.

Katika mahojiano na kitengo cha kutoa habari cha BMBC,mfanyakazi huwo alisema kuwa katika ujenzi lazima watu wawe makini sana sababu nyumba inadumu inapofanyia makesabu ya kina.

Alisema: “kuna watu ambao hawaoni umuhimu wa kuhesabiwa gharama ya nyumba zao;ili nyumba idumu inatakiwa mahesabu ya kina.”

Aliendela na kusema kuwa nyumba zinazojengwa zinatakiwa wafundi wenyewe kufanya mahesabu ya kina ili visiadiye nyumba kwa udumu wake na kuikinga kuharibika kwa siku chache.

Mfanyakazi huwo aliendelea kusema kuwa changamoto wanazokumban nazo katika kitengo chao ni kama wateja wanaotaka kuhudumiwa kwa haraka na wakati kazi wanoyifanya inaomba umakini na kwenda pole pole pole.

Huwo mfanyakzi wa BMBC alimaliza kwa kutoa ushauri kwa wateja kuachia wafundi wenyewe kuwafanyia mahesabu ya kina ili nyumba zao ziweze kudumu.

About the author

Leave a Reply